Jokate Mwegelo Instagram – #DIRA2025 πΉπΏπΉπΏπΉπΏ
Asilimia 81 ya waliotoa maoni kwenye DIRA 2050 ni VIJANA!!! Leo na kesho ya nchi yetu iko mikononi mwa VIJANA ππ½
Wewe una DIRA ya maisha yako?
βπ½ Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 inalenga kuifanya Tanzania kuwa taifa la uchumi wa juu unaojumuisha watu wote, wenye maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiikolojia. VIJANA, ambao ni zaidi ya nusu ya idadi ya Watanzania, ndio mhimili mkuu wa kufanikisha dira hii πΉπΏπΉπΏ | Posted on 17/Jul/2025 19:10:20



