Jokate Mwegelo Instagram – Chama ni vikao 💚
CCM ina utaratibu mzuri wa kuunganisha uzoefu wa wazee na ubunifu wa vijana. Vijana sio tu wanawezeshwa kupata elimu na kujiendeleza ila zaidi wanapewa nafasi ya kuonesha uwezo na ubunifu wao.
Vijana Tunaweza 💪🏽 | Posted on 13/Jul/2025 16:08:56



