Meena Ally Instagram – WHAT A DAYYYYY! 💚
Ahsante kwa kila aliefika leo CRDB BANK INTERNATIONAL MARATHON!
Ulikua wakati poa na tumeweza kutengeneza tabasamu la kumoyo kabisa kwa wale ambao wamesaidiwa kutokana na kukimbia kwetu leo. Shukrani kubwa kwa @crdbbankfoundation kwa kunipa nafasi ya kuhost siku ya leo 🙏
🎥 by @kallyboe
Cc: @cloudsfmtz
#KASIISAMBAZAYOTABASAMU | Posted on 18/Aug/2025 00:24:22



