Meena Ally

Meena Ally Instagram – “Kumhoji Rais kwangu ni HESHIMA” @meena_ally akiwa katika Usiku wa HARAMBEE ya CCM Kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Chama Cha Mapinduzi CCM leo kimeendesha harambee ya kupata takribani Bilioni 100 ili ziweze kuwasaidia katika kampeni za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais wabunge na Madiwani utakaofanyika mapema tarehe 29 Mwezi Oktoba mwaka huu.

Endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya @crowntvtz @crownfmtz na sikiliza 92.1 Mhz au Redio Box/ Garden na kutufuatilia live YOUTUBE channel ya CROWN MEDIA

#CrownMedia #HapaNiNyumbani | Posted on 13/Aug/2025 05:14:49

Meena Ally

Check out the latest gallery of Meena Ally