Yesterday was great ❤️ Nilipata nafasi ya kuhost uzinduzi wa @skinluxy_by_paulah Ahsanteni sana and congratulations to Paulah 🙏❤️

Kwako @fridaamaniofficial Dunia ina wana ila nataka ujue wewe ni MWANA SANA , wa shida na raha, wa tafrani na furaha, rafiki wa nyakati za mapungufu na nyakati za ukamilifu. Imagine tumefika nyakati hatukopeshani tena hela 😂 tunagaiana tu tukijua nikimpa huyu ni sawa na nimetumia mwenyewe. Imagine tumefika nyakati za kupunguza kuombana misamaha, tukijua huyu mtu atanielewa tu huko alipo na itaisha 😂 Ona jinsi simu zako kwangu au zangu kwako zimegeuka therapy sessions mwanangu, dunia ikinichapa najua nina mahali ya kupiga simu nikakutana na mtu ambae atanisapoti kwa upuuzi wangu kwanza halafu kunikosoa baadae 😂. Ona jinsi nakutazama ukifanikiwa kwa furaha isiyo ya kawaida nikijua inamaanisha TUMEFANIKIWA, na kwako pia same case kwangu. Mwanzoni nilidhani urafiki huu mtu yeyote anaweza kupata, sasa nagundua urafiki huu ni bahati, najua sasa ya kwamba sio kila mtu anabahatika kumpata Frida wake 👊🏽! Wana wanagombana kisa mabwana,kusengenyana na vitu kama hivyo, ila mi na wewe mwanangu tunagombana pale tu ninapoona hauuoni ukubwa na uwezo wako kama ambavyo mimi nauona kwenye macho yangu, na wewe hukasirika pale unaponiona nakua mdogo wakati mbele ya macho yako mimi ni mtu mwenye uwezo na nafasi kubwa! Je unajua hii ni bahati kiasi gani? M/Mungu ametukutanisha zaidi ya miaka 10 sasa, bila shaka aliona vile vinavyofanana kati yetu na vile visivyofanana pia akatuunganisha tuweze kusaidiana na kiukweli tu mpaka sasa HATUJAMUANGUSHA! Unashinda kila siku mwanangu, na namuomba Mungu uendelee kushinda kwasababu najua unastahili ushindi wa kila aina juu ya yote yale uliyowahi kuyapitia. Dua yangu ni M/Mungu aendelee kutufanya mfano wa urafiki na undugu wa kweli, aendelee kutufanya mfano wa utu wema, aendelee kutufanya mfano wa jinsi kujengana inapaswa kua kwenye maisha! Hatujazaliwa tumbo moja mwanangu lakini naamini hata wazazi wetu wanatambua walituleta tukiwa NDUGU hapa duniani. Nakutakia heri kwenye kila kitu, na nipo pamoja na wewe each step of the way, najua unajua hata dunia ikuumize vipi una ndugu ndani yangu anaejali na alie tayari kupitia maumivu na wewe, kupitia furaha na ushindi na wewe. Happy birthday My best friend ❤️ @fridaamaniofficial

Ni @obbyalpha ndiye ambaye alichagua kuja kutusemesha na Mungu Baba leo kupitia burudani ya muziki, it’s about time ya ku-enjoy unyama wake kwenye #XXLUnplugged ya #XXLCloudsFM •