Meena Ally

Meena Ally Instagram – Jana tulifanikiwa rasmi kuzindua Documentary yetu ya @tzyasamia_

Still feel like I’m dreaming 🥹🙏❤️ Alhamdulillah, Documentary hii ilituchukua zaidi ya miezi 6 kuandaa na kiukweli imefanywa kwa viwango vya juu, we worked very hard for this and Alhamdulillah tumefika nafasi ya kuweza kuionesha siku ya jana. Thank you to everybody that came through yesterday 🙏

Documentary hii Imelenga kuonesha jiji la Dar Es Salaam, miradi iliyofanikiwa,inayoendelea na kuonesha fursa za kiuchumi za jiji hili ambapo hata wawekezaji wakiona watavutiwa zaidi na kulifahamu jiji hili.

Ahsanteni kwa kuniona na kunipa nafasi ya kuwa mtangazaji wa makala hii : @docta_ulimwengu @idrissultan @carolndosi

Ahsante kwa Mgeni rasmi kwa kufika kwenye ufunguzi na kutuunga mkono juu ya makala hii @asharose.migiro

👠 @iloveyoustore0 | Posted on 28/Aug/2025 12:48:19

Meena Ally
Meena Ally

Check out the latest gallery of Meena Ally