Rose Ndauka Instagram – Kheri ya kuzaliwa mdogo wangu kipenzi,vile Nakupenda siwezi kuelezea wengine wakaelewa ila wewe wajua….
Nakuombea Mwenyezi Mungu kwaajili maisha marefu na mafanikio tele hekima kubwa na busara yako Mwenyezi Mungu atakulipa kwa namba ya tofauti Leo tamba bwana dadaangu Nakupenda sana @esimon.ndauka | Posted on 28/Aug/2025 20:31:48



