Wema Sepetu Instagram – Dira Ndio Mpango mzima wa kutufikisha 2050
Dira ndio JIBU la Tunatoboa vipi 2050.
Dira Mpango mzima wa Kuifanya BONGO kama ULAYA.
Tunaitengeneza Kesho ya Watoto Wetu
Ni mpango wa Tanzania tuitakayo.
Mustakabali wa Tanzania ya Kesho, unakuja! | Posted on 15/Jul/2025 15:31:00
Check out the latest gallery of Wema Sepetu



