Aunt Ezekiel Instagram – “Karibu katika kipindi kipya cha Maisha na Murua! Tutaangazia safari za kibiashara na changamoto za kila siku, huku tukileta hadithi za kweli kutoka kwa watu wa kawaida. Usikose kutazama YouTube, ufollow channel yetu na ujiunge nasi katika safari hii ya kuhamasisha na kujifunza!” EP 01 Out now link hapo juu kwa bio yangu ❤️
Follow @maishanamurua @maishanamurua
My Dress frm @aminadesign8 😘 | Posted on 01/Sep/2025 17:22:48



