Aunt Ezekiel Instagram – MURUA BALANCE FACE MIST:
– ni tona ya kusawazisha, kukuza, kujenga na kung’arisha ngozi ili kuboresha mwonekano na kuweka rotuba (mbolea) katiba ngozi.
-.
MURUA CLEANSING OIL :-ni vipodozi vinavyofanya kazi ya kusafisha uso kwa kiasi kikubwa kabisa kwa kuyayusha na kuondoa kiasi kikubwa cha uchafu wa usoni kama vile mafuta, jasho, vumbi, seli zilizokufa na takataka zingine.
Matokeo yake ni kwamba mtu ambaye ametumia kipodozi hiki anabaki na ngozi safi kabisa na inayong’aa kwa sababu kiasi kikubwa cha uchafu na vitu vingine vilivyokuwa vinafunika ngozi yake vimeondolewa. Ufanisi wake katika kusafisha uso ni mkubwa kuliko kitu kingine chochote…..
UTAZIPATA HIZI ZOTE KWA 50,000/=ZOTE 2
CALL NOW 0752300068 | Posted on 11/Sep/2025 11:53:09



