Elizabeth Michael

Elizabeth Michael Instagram – Baada ya RISACHI yangu ya muda mrefu nimegundua wadada mnapenda sana kuwasingizia watoto wa ma mkwe….acheni kulalamika hampewi hela…shida ni hela zenyewe mnaombaje?😭😂haya siwezi kuwafundisha kila kitu 🏃‍♀️

Fata maelekezo machache ya kwenye video na ukishapewa hapo hapo agiza set yako ya @luminaskintz u glow mtoto wa kike 👌🤝Alafu bosiledi ni wale wanaotafuta kwa jasho😭msinipopoe naumwa chango 🏃‍♀️

@luminaskintz
#luminaskintz | Posted on 10/Sep/2025 13:38:51

Elizabeth Michael
Elizabeth Michael

Check out the latest gallery of Elizabeth Michael