Elizabeth Michael

Elizabeth Michael Instagram – Look what @luminaskintz can do 😄😍

RASMI nimejiunga na familia yangu mpya ya bidhaa za urembo @luminaskintz 🥰 sijawahi kabisa kuwa na familia ya aina hii tangu kuwa maarufu,na mpaka kukubali kujiunga nao ni kweli nimejihakikishia ubora,utendani na usalama wa products hizi za LUMINA,na kiukweli ningependa kila msichana,mwanadada au mwanamke anayejipenda na anayetaka kujiboresha zaidi kuweza kufikiwa.

LUMINA SKIN…BETTER VERSION OF YOURSELF (wewe uliye bora)HATUKUBALISHI TUNAKUFANYA KUWA BORA ZAIDI NA ZAIDI. 📌 | Posted on 14/Aug/2025 14:55:58

Elizabeth Michael

Check out the latest gallery of Elizabeth Michael