Elizabeth Michael Instagram – Happy birthday MUHAMALA wetu mkuu 🥰😂 (mtaelewa kwenye last slide)
Kwa lugha rahisi tu wewe ni SALA ZANGU ZILIZOJIBIWA 🙏 Mw/Mungu akuongezee umri uliojaa mema ya rohoni na mwilini 🙏
Ahsante kwa kuwa Baba,Mume,Rafiki,business partner,Mubaba,danga au skia wewe ni MIHAMALA yote bwana 😂🤝na hatuwezi kuingilia MIHAMALA yako yote😭😂
Ishi sana ROLE MODEL…Nakupenda Mumewangu❤️ @majizzo | Posted on 09/Sep/2025 13:50:43



