Elizabeth Michael

Elizabeth Michael Instagram – Si mnajua ninavyoipenda ngozi yangu eh?nahakikisha siachi kuiboresha kwa vipodozi sahihi…na ukweli ni kwamba ili ngozi kuwa bora inahitaji zaidi ya kitu kimoja.!
Binafsi hii ndo routine yangu ya uso,wala sina mambo mengi kabisa😄🥰

Kama tayari umechukua products zetu za @luminaskintz hakikisha unafata hatua kama hizi apa…bhassiiii jambo la glass skin na glow unakuwa umelipata👌yani unaweza kuunguza majirani kwa kuwaka😂
Products zetu HAZICHUBUI kabisa ni salama kwa ngozi yako na afya yako kwa ujumla 👌

@luminaskintz @luminaskintz | Posted on 20/Aug/2025 13:40:11

Elizabeth Michael
Elizabeth Michael

Check out the latest gallery of Elizabeth Michael