Elizabeth Michael Instagram – Unajua kuwa licha ya vipodozi vizuri na vya uhakika kutoka @luminaskintz unaweza kupata huduma ya facials bora kabisa hapo hapo? naaam unapata ushauri wa ngozi kutoka kwa wabobezi kabisa,unapata huduma nzuri kabisa ya facial na nyunginezo na unapata product zako nzuri kabisa ya kukufanya uendelee ku maintain ngozi yako vizuri kabisa
Yes,facial ni Muhimu sana angalaua mara moja kila mwezi (kwa mtu usiye na shida usoni)faida zake nyingi utazipata kwenye ukurasa wa @luminaskintz (Wapigie 0794773344) | Posted on 19/Sep/2025 17:41:27



