Frida Amani Instagram – Picha hii Ina maana kubwa kwangu na mabinti wengi wenye ndoto.Just wake up na kupambania ndoto yako,hatukuwahi kuwaza kuwa na Rais mwanamke, lakini pia rap Kwa wanawake ilikuwa kitu kigumu sana kupokelewa, mabinti kucheza mpira ilikuwa ngumu ila guess what??
Kwenye picha ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania @samia_suluhu_hassan akiteta nami,madam president wa rap.
Girls, everything is possible, Pongezi zangu za dhati kabisa kwa Serengeti girls @serengetigirlstz
@wizara_sanaatz @mohamed_mchengerwa @dktabbasi …
SELF MADE TASTE BETTER. | Posted on 05/Jul/2022 22:36:57



