Godliver Gordian Instagram – Hey love
Mwelekeo ni Nungwi 🌊, Kaskazini Unguja Dkt. Samia Suluhu Hassan anawaalika wote kujitokeza na kushiriki katika safari ya maendeleo. Oktoba tunajambo letu kazi ni moja tu ,tunatiki ✅
Pamoja tunaweza! 💪✨
samia_suluhu_hassan @dr.hmwinyi @ccmtanzania @samia.app @mwinyi.app
#SamiaSuluhuHassan #Urais2025 #Tanzania #Mabadiliko #PamojaTunaweza
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth. Amina💖 | Posted on 18/Sep/2025 13:08:36



