Godliver Gordian Instagram – 📍Makunduchi ni nyumbani!
Leo, tunajivunia kuwa na Raisi @samia_suluhu_hassan na Rais @drhmwinyi wakiwa nasi.
Kwa miaka 5, viongozi wetu wamefanya kazi kubwa kuleta mabadiliko na maendeleo ya kweli ndani na nje ya nchi .Oktoba 29, mwana Makunduchi, tusisahau kutiki kwa Mama Samia na Raisi Hussein Mwinyi!
Tunaungana katika kipindi hiki muhimu, tukikumbuka nguvu ya umoja wetu kama taifa.
@samia_suluhu_hassan
@dr.hmwinyi
@nchimbie
@ccmtanzania
@samia.app
#Makunduchi #Tanzania #Umoja #OktobaTunatiki #SamiaSuluhuHassan #CCMTanzania #Mshikamano | Posted on 17/Sep/2025 22:04:24



