Godliver Gordian Instagram – Hey love
📍 Tupo Nungwi kushuhudia historia ikibadilishwa! ✨
Leo tunasherehekea kazi kubwa ya viongozi wetu mashuhuri, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Mwinyi, Rais wa Zanzibar, wanapoendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya CCM kwa maendeleo ya wananchi.
🗳️ Oktoba 29 ni siku ya kuandika ukurasa mpya wa mafanikio—
👉🏾 Tuchague Samia na Mwinyi kwa Zanzibar yenye fursa, umoja na maendeleo endelevu! 💚💛
#TupoNungwi #HistoriaInabadilika #CCM #SamiaSuluhu #HusseinMwinyi #Oktoba29 #MchaguoSahihi
@samia_suluhu_hassan @hussein_mwinyi @ccmtanzania @ccmzanzibar
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth. Amina💖 | Posted on 19/Sep/2025 01:13:25



