Godliver Gordian

Godliver Gordian Instagram – Hey love

🔊 Kigoma Mjini oyeeee!
Tupo bega kwa bega na Mama yetu, Rais Samia Suluhu Hassan .
Kwa miaka 5 tumeshuhudia maendeleo makubwa, mabadiliko ya kweli na fursa mpya zilizofunguliwa.

🗳️ Oktoba 29 tunatiki na Mama Samia – Kigoma Mjini tuko tayari kuendeleza ushindi!
@samia_suluhu_hassan
@ccmtanzania
@ccmdigitali
@samia.app
#KigomaMjiOyeee #MamaSamia2025 #TunatikiTena
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. Amina💖 | Posted on 14/Sep/2025 20:46:18

Godliver Gordian
Godliver Gordian

Check out the latest gallery of Godliver Gordian