Godliver Gordian Instagram – 📣 Kaliua, Tabora!
Tunakusanyika hapa leo kuunga mkono Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni. Tuko pamoja kuhamasisha jamii yetu kuhusu umuhimu wa kumchagua kiongozi ambaye anajali maendeleo yetu.
Hebu tuwe na nguvu na umoja katika kuhakikisha sauti zetu zinatoa mwanga wa mabadiliko!
Tusisahau kwenda kutiki kwa Mama Samia ifikapo Oktoba 29! Tuchague maendeleo, tuchague Mama Samia! ✊🏽
@samia_suluhu_hassan
@ccmtanzania
#Kaliua #MamaSamia2025 #Uchaguzi #MabadilikoChanya | Posted on 11/Sep/2025 15:41:04



