Godliver Gordian Instagram – Hey love
Nina watakia Kheri ya Kumbukizi ya siku yenu ya kuzaliwa wapendwa wangu @dr.kumbuka @sherry_tz_collectionn .. Kama mlivyoongeza umri basi mkaongezeke katika IMANI, UPENDO, UNYENYEKEVU, UTII NA UCHA MUNGU na MENGINE YOTE YA KHERI MTAZIDISHIWA SAWASAWA NA MAPENZI, NEEMA NA REHEMA YA MUNGU BABA YETU MWEMA.
Mithali 16:3 Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika.
.
.
.
Utukufu na Uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. Aminaš | Posted on 20/Sep/2025 00:11:42



