Godliver Gordian Instagram – Hey love
🔊mamboooo vipiii Lindi!
Tuko pamoja na Mama yetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwenye safari ya maendeleo na mshikamano!
🗳️ Oktoba 29 — kura yetu ni kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan!
@samia_suluhu_hassan
@ccmtanzania
@ccmzanzibar
@safariya_ccm
@ccmdigitali
#SamiaSuluhu #Lindi #Mabadiliko #CCM #Tanzania
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth. Amina💖 | Posted on 25/Sep/2025 12:25:46



