Godliver Gordian Instagram – Dada yangu kipenzi, @godliver_gordian
Asante sana kwa kuwa mtu wa msaada na mwenye moyo wa dhati kila wakati. Mungu aendelee kukutunza, akulinde na akuzidishie baraka zake.
Nimeona miwani mizuri kutoka @onaeyecare mimi na Wifi tunakusubiri umalize kampeni ili umpeleke wifi yako @augeniachelula anasema anakusubiria wewe, hataki kwenda peke yake kabisa. Hii ni ishara tu ya upendo mlio nao đź’•.
Ndugu zangu miwani mizuri ipo @onaeyecare OCTOBER TUNATIKI | Posted on 07/Sep/2025 14:03:04



