Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto Instagram – Hi ndugu zangu wapambanaji nawapenda sana na nina taarifa njema kwenu Ikiwa una hamasa ya kufanya kazi na @yaketbeverages kampuni inayoleta mabadiliko kwa kuleta maji bora na salama, hii ndiyo nafasi yako.

Tunakaribisha mawakala kutoka kila kona ya Tanzania kushirikiana nasi katika kusambaza bidhaa zetu na kufanikisha upatikanaji rahisi wa maji kwa kila mtu.

Usikose fursa hii ya kipekee wasiliana nasi leo kupitia 255 718 669 999 kwa kututumia jina lako kamili na Mkoa unapopatikana kama wakala ili uwe sehemu ya safari ya ukuaji na mafanikio.
@yaketbeverages
@yaketbeverages | Posted on 21/Aug/2025 15:33:21

Hamisa Mobetto
Hamisa Mobetto

Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto