Hamisa Mobetto Instagram – Kama mwendelezo wa kampeni yetu ya Team Yaket,Leo tunawashindi wetu wapya ambao wamekua na mawazo chanya ya matumizi ya maji yenye kuleta mabadiliko katika jamii na maisha ya kila siku na washindi wetu ni Jamal kutoka Kigamboni,Happiness kutoka Mwenge na Princensa.
Kama Yaket, tunathamini kila wazo na tunaahidi kuendelea kukuza fursa zaidi ili kuwapa nafasi za kushiriki na kushinda. Endelea kufuatilia kurasa zetu kwani ushindi unaweza kua wakwako pia
#Teamyaket
#Yaketbeverages | Posted on 01/Sep/2025 15:00:42



