Hamisa Mobetto Instagram – @hamisamobetto @waizer_esya @willynkya = Generation Yas Talk – Anzia Ulipo💛💙
Tembelea YouTube channel yetu Yas Tanzania kusikiliza safari ya mafanikio ya Hamisa Mobetto, alipoanzia na alitumia mbinu gani kuwa staa mkubwa Africa na duniani kwa kutumia teknolojia.
Jifunze, pata motisha na usiishie hapo tu……Anzia Ulipo….na Yas.
#AnziaUlipoNaYas | Posted on 10/Sep/2025 14:30:38


