Hamisa Mobetto Instagram – Watu wengi hutaja jina malkia,
Lakini si kila malkia huvaa taji wengine huzaliwa nalo.
Leo nimefurai sana rasmi kuwa balozi wa bidhaa ya “Queen Elizabeth” kutoka @Siparcoeastafrica
Kitu cha kipeke kuhusu bidhaa hii imetengenezwa hapa hapa Tanzania 🇹🇿
Uzuri wa kweli unaanzia nyumbani.
Na hii ni zawadi ya kifalme kutoka kwa ardhi yetu naileta Kwenu wadada na wakaka karibuni kwa afya njema ya ngozi
@siparcoeastafrica
@siparcoeastafrica
@siparcoeastafrica | Posted on 14/Jul/2025 21:04:38


