Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto Instagram – 🌸 @primaafro_hair Seminar 2025 🌸

Ilikuwa heshima kubwa kushiriki kama Balozi wa Prima Afro katika Semina ya Mwaka 2025.
Tulikutana na wasusi, wataalamu wa nywele, na wajasiriamali wa tasnia ya urembo kutoka maeneo mbalimbali.

Tulizungumza, tukashauriana, tukashirikiana mawazo mapya kuhusu mustakabali wa wasusi tukisisitiza thamani ya ubunifu, heshima ya mwanamke, na nguvu ya jamii ya wasusi.

Kila mmoja alikuja na ndoto, lakini tuliunganishwa na lengo moja kuinua ubora wa huduma, na kuthamini bidhaa halisi kama @PrimaAfro_hair inayowakilisha uhalisia wetu.

I had so much fun 😘 💃🏽 | Posted on 31/Jul/2025 15:26:06

Hamisa Mobetto
Hamisa Mobetto

Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto