Hamisa Mobetto Instagram – Leo tunawatambulisha washindi wetu wengine kutoka Team Yaket ambao ni Hawa kutoka Temeke na John kutoka Mbezi Beach.
Kwa heshima kubwa, tunafunga rasmi kampeni yetu ya Team yaket inayosema “Ukipewa katoni 50 za maji utazitumia kwa matumizi gani?”. Kampeni hii imekuwa jukwaa la kupokea mawazo ya thamani kutoka kwa washiriki mbalimbali.
Tunapenda kuwashukuru kwa Muda,Juhudi,Mawazo na mapendekezo yenu na tunawasihi kuendelea kufatilia kurasa zetu ili kuweza kuona fursa nyingi zaidi kutoka Yaket beverages.
#Teamyaket#Yaketbeveragestz. | Posted on 15/Sep/2025 16:41:49



