Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto Instagram – KODTEC tunakuletea Food Processor 4in1 kifaa cha kipekee chenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi nyingi ndani ya muda mfupi, kikiwa kimekusanya mashine nne tofauti kwenye kifaa kimoja.

Kwa kutumia Food Processor 4in1 kutoka KODTEC, unaweza kufurahia mambo yafuatayo:
✅ Blender – sagia juisi zako, na vinywaji mbalimbali kwa urahisi.
✅ Chopper – katakata mboga, vitunguu, nyama na viungo vingine kwa muda mfupi bila usumbufu.
✅ Juicer – tengeneza juisi safi na yenye afya kwa kusaga matunda bila kuongeza maji.
✅ Grinder – saga nafaka kavu, kahawa, karanga au viungo vyako unavyovipenda.

Hiki kifaa kimeundwa kwa ubora wa hali ya juu, rahisi kutumia, rahisi kusafisha na hakihitaji nafasi kubwa jikoni. Ni suluhisho bora kwa familia ya kisasa inayothamini afya, muda, na urahisi.

Kwa nini ununue vifaa vingi ilhali unaweza kupata vyote ndani ya Food Processor 4in1 kutoka KODTEC pekee?
👉 Fanya kazi nyingi jikoni kwa haraka.
👉 Okoa muda na nafasi.
👉 Pata thamani kubwa kwa bei ndogo.
Wasiliana na sisi leo:
@kodtec_mwanza 0748087851
@kodtecarusha 0748092435
@kodtecdodoma 0748207324
@kodtecuhuru01 0748204581
Njombe 255 748 092 286
Songea 255 748 204 807
Kahama 255 746 678 710
Mbeya 255 748 206 978
Iringa 255 748 092 372
Tunduma 255 748 221 928
Dar Msimbazi 255 748 090 061
Dar Aggrey 068 643 2279
Dar uhuru na livingstone 255 68 643 2263
Kigoma 0686432161
Tabora 0681250490
Lindi na Mtwara 0681250489
Moshi 0652576063
Morogoro 255 748 131 547
Marketing Dar 0747137324, 0748219480 na 0755914034

#kodtec #hamisamobetto
#Kodtec #MapishiRahisi #KitchenEssentials #SmartCooking | Posted on 10/Sep/2025 15:15:00

Hamisa Mobetto

Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto