Mambo watu wa MUNGU … nilikuwa nataka kulala ila nimeskia kitu kuongea na nyie… najua wengi tunatamani maisha mazuri… afya njema … ndoa za baraka… lakin Nataka nikwambie kila kitu unachoomba hakikisha unakiishi… mfano ukiwa unaomba afya njema hakikisha unalinda afya yako… haiwezekani unakesha club na pombe kama zote na mashisha ,bangi sijui sigara alafu unamuomba MUNGU afya njema … nakuhakikishia utakufa… pia huwezi kuwa unataka maisha mazuri lakin hufanyi kazi wala ujiongezi kutafuta unasubiri miujiza ya kupata maisha mazuri… nakuhakikishia utakufa masikini… Omba … piga goti ila jitumeeee… nawale wadogo zangu au dada zangu ambao wanategemea wanaume kuishi nawanaamini watafanikiwa… nakwambia aamka kwenye hyo ndoto haitakaaa itokeee… MUNGU anabariki kazi za mikono yetu na imeandikwa… Sasa hufanyi kazi hzo baraka zinatoka wap ?utaaaongwa sana mnooo ila hutapiga hatua utaishia kuenjoy tuuu mafanikio hutayaonaaa … tumepita huko amini nakwambia bila wewe mwenyewe kujituma umekaaa tuuu … Sahau mafanikio… ukiomba ndoa njema basi matendo yako yaongeee … sio unakesha kanisani unaomba MUNGU akubariki mume bora alafu ukitoka Upo club juu ya meza,unatukana watu, unadharau huwongei na watu vzuri … nakwambia maombi yako yatakuwa hayana kazi… usijidanganye kuwekewa mkono umemaliza ni uwongo… bila kujituma na kubadili njia zako … amini nakwambia huyo mume utamsikia kwenye bomba labda utapata mtae fanana tabia sio kusudio la MUNGU…. Nilitaka nikwambie tu chochote unachotaka MUNGU afanye kwenye maisha yako kiendane na matendo yakooo… bila hivyo unapoteza mdaaaa … MUNGU anafanya hakika ila kwa wenye juhudi ya maombi na kazi pia … hakuna muujiza kwenye hilo. Nawapenda sanaaa na mnisamehe kama nimewakwaza… Ila nimesikia ROHO MTAKATIFU akiniambia niongeee na mtu leo. MUNGU awabariki sanaaaaa. Mithali 20-13 1 Wakorintho 6-19,20 Kumbukumbu la Torati 28 :1-19 MUNGU awabariki… usiku mwema 😍
Asante sanaaa bosss zangu @directorjoan @sarahkangezi MUNGU awabariki sanaaa Karibuni @friendsofgodministry1 @lionellangelbackup kupata yako piga 255716 557715 ARUSHA 255715342134
Karibu @friendsofgodministry1 kupata yakooo… Asante sana @fole_x kupata yako piga 255716557715
Karibu @friendsofgodministry1 kupata yakooo… Asante sana @fole_x kupata yako piga 255716557715
Karibu @friendsofgodministry1 kupata yakooo… Asante sana @fole_x kupata yako piga 255716557715
#kazinautu✅ #samianisuluhu✅ SAMIA NI SULUHU
🙌 @bitestarr
Karibuni sanaaa … @officialgelly
Karibuni sanaaa … @officialgelly
Love yourself first 💋
Love yourself first 💋
💋💋💋
😍😍😍
Umepowa Tajiri @petitman_wakuache Karibu @friendsofgodministry1 pata lako mapema Piga 255715342134