Irene Uwoya

Irene Uwoya Instagram – Jamani watuwamekuwa wanatapeliwa sanaaa… hzo msg wametumiwa wafanyabiashara na wengine wasanii …nilisha ongea sanaaa naomba nionge hili kwa mara yamwisho… hyo sio namba yangu wala sina ishu na SIMBA yahivyo… pia sitoi mikopo wala budalisha hela popote duniani… mim nina @icosmeticstz tu na ni Mtumishi wa MUNGU .
Ukitapeliwa itakuwa ujinga wako maana nimeshaongea sanaaana na hii ni mara ya mwisho sitasema tena !
YESU awatunze🙏 | Posted on 12/Jun/2025 00:45:24

Irene Uwoya
Irene Uwoya

Check out the latest gallery of Irene Uwoya