Irene Uwoya Instagram – Niseme nin Mimi MUNGU wangu…nilipo kataliwa hukuniacha ukaniketisha na wakuu… mim ni nani …sio mwema sanaaa au mzuri sanaaa au najua sanaaa lakini hukuniacha… ukanipa kibali na neema… YESU wangu niseme nin mim… Sina chakukupa ila mimi na familia yangu tutakuabudu mpaka mwisho wa nyakati. | Posted on 21/Apr/2025 16:28:16
Check out the latest gallery of Irene Uwoya



