Jacqueline Wolper Instagram – Maombi ya kwanza Ni ya kwako wewe Mama,so Mama usisahau kuombea wanao ,ata ka dakika kamoja Tuu weka Mkono wako juu yake, Mfunike Na Dam ya yesu ..
Either unaenda kazini wewe au wanaenda shule wao,pindi Muamkapo Na Mlalapo muhm saana dia ..
Shetani yupo kazini imani yako itakuponya Mungu Akubariki saaana ❤️❤️❤️
.
.
Tupo wazi Dukani kwetu karibuni saana ☎️ 0759888288 | Posted on 11/Sep/2025 13:52:15



