Kajala Masanja Instagram – Nimepata faraja kubwa kuona imani ya CCM na Wana CCM wa Jimbo la Nachingwea.
Am proud of you My Brother, niwaombe Wana – Nachingwea Oktoba tukatiki kwa Mama Samia ✅️ na Liwaka ✅️. @fadhilliwaka | Posted on 02/Sep/2025 15:43:01



