Meena Ally Instagram – ALHAMDULILLAH 🙏❤️
Jana nilifanikiwa kushinda tuzo katika tuzo za Waandishi wa Habari @samiakalamuawards ambapo nilitunukiwa tuzo ya MUANDISHI WA HABARI BORA CHIPUKIZI na Mh. Rais @samia_suluhu_hassan 🙏
Tuzo hii imenipa hamasa ya kupambana zaidi,nimejihisi ninaonwa na mpaka kufikia kuonekana na serikali yetu na namba 1 mwenyewe, kiukweli sina la zaidi ya ALHAMDULILLAH , hakuna kubwa mbele yake M/Mungu🙏❤️
Kwako mwanangu unaepambania ndoto zako na bado hauoni mwanga wa kufanikiwa, aliyesimama hapa na kushinda tuzo hiyo, alishaambiwa hajui kutangaza aache mara moja 👊🏽 Don’t stop believing and Never let anyone dream for you, Thank you 🙏👊🏽
My outfit by the amazing @teddy_closet_tz | Posted on 06/May/2025 19:47:44



