Rose Ndauka

Rose Ndauka Instagram – Hahahhaha hapa nilikuwa bado sijaanza kutumia Chocolate, Chocolate zimewez bwana Toa Oda yako sasa …

Haya mpo Tayari kwa EBU msimu wa Pili….?Tujikumbushe EBU ni Nini .?ELIMU BIASHARA NA UTALII…

Ofa kwa shabiki yangu mmoja ambae ni mfanyabishara na anatamani kweli kuwepo kwenye msimu wa Pili,Niambie EBU Msimu wa kwanza ilifanyika Mkoa Gani tarehe na siku bila Kusahau mngeni wetu alikuwa nani….? @elimubiasharautalii | Posted on 15/Sep/2025 21:56:33

Rose Ndauka
Rose Ndauka

Check out the latest gallery of Rose Ndauka