Wema Sepetu Instagram – Msinune bwana… Ndo msimu wa Kijani huu…. Mpaka Kieleweke… @uvccm_tz @comrade_kawaida @wema_wa_mama … Nikiwa na vijana wa Hamasa hapa Njombe, Viwanja vya Sabasaba Tayari kabisa kumpokea Mama Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kunadi Sera zake… CCM Oyeeeeeee | Posted on 05/Sep/2025 18:03:06
Check out the latest gallery of Wema Sepetu



