Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Jumamosi hii mzunguko wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika inakamilika kwa Wananchi Yanga SC kuwa Lubumbashi kuwakabili TP Mazembe.

Mara ya mwisho Yanga SC alipokipiga na Mazembe nyumbani kwake, Wananchi waliibuka na ushindi.

Je, Yanga SC kuendeleza tena ubabe Lubumbashi?

Mechi hii itapigwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

#CAFCL #YangaSC #TPMazembe | Posted on 12/Dec/2024 15:05:04

Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie