Yvonne Cherrie Instagram – Ahsante Mungu kwa zawadi ya uhai, afya na upendo. Ninaposherehekea mwaka mwingine leo, neema yako iendelee kuniongoza.
Happy Birthday to me!
‘’Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele –Zaburi 23:6” | Posted on 19/Aug/2025 12:37:53



