Kajala Masanja

Kajala Masanja Instagram – Hi Guys , Mimi ni Kajala Masanja
Balozi wa Bayport – Nina , Sema

Bayport tuna huduma mpya – “Lipia Bima Mdo Mdo”

Usihangaike tena na malipo makubwa ya bima!

Wewe chagua aina ya bima unayohitaji — iwe ni ya gari, afya, usafirishaji wa mizigo, au ujenzi — sisi tutakulipia,

na wewe utatulipa (sisi bayport )kidogo kidogo… yaani Mdo Mdo!

Malipo ya bima tuachie sisi!

Bofya hapa chini au
piga 0800 782 702 kupata maelezo zaidi. @bayport_Tanzania | Posted on 18/Nov/2025 14:22:34

Kajala Masanja

Check out the latest gallery of Kajala Masanja