Maua Sama Instagram – Waiting is Over!
Hatimaye tunakata rasmi kiu yenu 🙏.
“Tia Mguu Remix” imepata baraka kubwa kutoka kwa wasanii wetu pendwa waliounganisha nguvu zao na sisi. ❤️
Tunawashukuru sana mashabiki kwa mapokezi makubwa ya Mama Amina, na tunaomba muendelee kutupa support yenu, wimbo unatua kesho mchana! 🌅🔥
#TiaMguuRemix #PachekoNaMamaAmina #OutAsubuhi | Posted on 13/Sep/2025 01:25:19



