Kuna mwaka nilikuwa msichana wa miaka 8, kwenye tv redio ilikuwa inasikika sauti ambayo sikujua ingekuwa sehemu ya safari yangu. Miaka ikaenda… nikaifanya kava kwa sauti yangu na mtu muhimu kwangu @enioluwaofficial 🤗 Akaitazama.. Akaipenda.. Na leo, nimekaa mbele yake mwenyewe, Bob Rudala. Kuna furaha nyingine huwezi kuieleza… unaishia kutabasamu tu, ukijua muziki umetengeneza mduara wake. Asante Legend kwa kunipa baraka zako, kwa kunisikia, na kwa kutupa kizazi hiki nafasi ya kulipa heshima kwa kazi yako @esrom656 #NimekuchaguaWewe❤️🎶

MELANIN THERAPY (PLAYLIST ), IS OUT NOW ON ALL DIGITAL PLATFORMS.. Big thanks to @applemusic for this support and recognition 🙌🏻🙏! TRACK LIST: 1.Rehab 2.yatapita 3.sisi ni wale 4.Manu 5.Kesho yangu #keshoyangu ni bonus yenu, ( remember to acknowledge yourself and congratulate yourself for making it when you do, because you deserve it) kama umeshaikiliza na imekubamba , nipe maoni yako au share story yako kwenye comments (mstari gani umekubamba sana?)… Visit the link on my bio to listen!
“Kesho yako, ni kubwa kuliko jana..” Visit the link on my bio👆!
Let the people say what they want to say; Tugange Yanayokuja!❤️ Please click the link in bio to watch the full video. @phina__tz 👫🏾 #SwahiliMusic
Nimekuchagua Wewe I choose you @phina__tz 👩🏾❤️👨🏾❤️ A cover of one of our fav songs together- Nimekuchagua Wewe by Bob Rudala 🎹: @mr.deeeeeeep_
Nimekuchagua wewe, leo, kesho na hata milele.💒👰🏾🤵🏾♂️ Please click Link in Bio to Subscribe. Karibuni ku-subscribe akaunti yetu mpya ya YouTube. Gusa link kwenye bio yangu!🤗❤️ #ENIandPHINA
“..natengeneza njia yangu, najua kesho nitatoboa tu..” Usipende kujifananisha na wengine, tengeneza njia yako! #createownpath Stream #keshoyangu available on YouTube and all digital platforms now! Visit the link on my bio😍👆
I’m excited to share that I’ve been selected as Apple Music’s latest Up Next East Africa artist. Check out Apple Music’s #UpNext playlist featuring songs from some of the best & brightest new voices in music. I’m honoured to be featured in such great company. Visit the link on my bio