Rose Ndauka

Rose Ndauka Instagram – Eheeee Mungu wangu moyo umepasuka sana kusikia taarifa za kifo chako,nakosa hata maneno ya kuandika rafiki yangu nahisi maumivu makali moyoni……pumzika kwa amani mpendwa wetu umeona umfate Mama mapema sana

Poleni sana kwa familia,Mwenyezi Mungu awatie kwenye kipindi hiki… | Posted on 16/Nov/2025 21:53:39

Rose Ndauka
Rose Ndauka

Check out the latest gallery of Rose Ndauka