Hamisa Mobetto Instagram – @yastanzania_ ni zaidi ya mtandao💙💛, ni mshirika sahihi wa safari yako ya mafanikio na ndo maana tumetambulika kama mshindi namba 3 wa banda bora kwenye maonesho ya 49 ya Sabasaba.
Kama Mimi na Yas tunayong’ara Anza sasa kuwa the next Hamisa, the next Millard au the next big thing 🔥ukiwa na teknolojia bunifu, bidhaa, huduma na network ya 4G iliyoenea nchi nzima na 5G yenye kasi zaidi.
Anza sasa, Anzia ulipo na Yas
#AnziaUlipoNaYas #YasSabasaba2025 | Posted on 08/Jul/2025 13:57:55


