Kajala Masanja

Kajala Masanja Instagram – Asanteni sana @kajalafrida na @therealpaulahkajala kwa support kubwa mliyoipa Bui Fast Cargo 🙏✨

Tumefurahi sana kufanya kazi na nyie, na tunawakaribisha tena muda wowote.

Bui Fast Cargo tunaendelea kutoa huduma bora, salama na ya kuaminika ya usafirishaji wa mizigo kutoka Dubai 🇦🇪 kwenda Tanzania 🇹🇿.

📦 Huduma zetu:
• Express Cargo 🚀 – Mizigo inafika ndani ya siku 1 tu kutoka Dubai hadi Tanzania

• Cargo Kubwa 🚚 – Mizigo inafika ndani ya siku 4 kutoka Dubai hadi Tanzania

Kama una mizigo yoyote kutoka Dubai kwenda Tanzania, ilete Bui Fast Cargo, tutakusafirishia kwa bei nzuri sana na uangalifu wa hali ya juu kabisa.

📍 Tunapatikana:
• Dubai: Deira, Naif
• Tanzania: Kariakoo – Msimbazi

📞 Wasiliana nasi sasa:
• Dubai: 971 58 297 9017
• Tanzania: 255 671 134 777 | Posted on 18/Dec/2025 22:45:26

Kajala Masanja
Kajala Masanja

Check out the latest gallery of Kajala Masanja