Kajala Masanja

Kajala Masanja Instagram – Karibu kwenye ulimwengu wa teknolojia. Ulimwengu ambao unarahisisha mahitaji ya ngozi yako kwa simu yako tu!!

Kwakutumia @ishercare App sasa unaweza kuscan uso wako na kujua changamoto zilizopo kwenye ngozi yako na kupata ushauri wa nini utumie kulingana na ngozi yako.

FAIDA 10 ZA KUTUMIA @ishercare APP

1. Utascan uso wako
2. Utajua kama kuna shida yoyote kwenye ngozi yako
3. ⁠ Utajua aina ya ngozi yako
4. ⁠Utapata ushauri wa nini utumie kulingana na ngozi yako
5. Utaweza kupangiwa routine ya kutumia asubuhi na jioni kwa usahihi
6. ⁠Utajua umri wa ngozi yako
7. ⁠Utajua ni kwa kiasi gani jua limeathiri ngozi yako
8. ⁠Ukiwa mfanya biashara wa vipodozi utaweza kutunza kumbukumbu ya majibu ya wateja wako uliowascan
9. ⁠Utaweza kufuatilia maendeleo ya ngozi yako week hadi week
10. ⁠ Utaweza kuuliza swali lolote kuhusu ngozi kupitia AI chat iliyopo ndani ya Application

Download sasa ishercare App inapatikana playstore na App store.

@ishercare @ishercare @ishercare
#ishercare #ishercareApp #ulimwenguwateknolojia #mapinduziyateknolojia | Posted on 28/Nov/2025 18:36:52

Kajala Masanja
Kajala Masanja

Check out the latest gallery of Kajala Masanja