Godliver Gordian Instagram – Hey love
BACK TO SCHOOL
kumekuchaaaa kesho mambo ni moto kwenye kijiji chetu cha taifaaaa
wazazi tunawapunguzia majukumu tupo kwa ajili yenu..
Sponsored by
➡️ @dstvtanzania
➡️ @mariposadelightcatering
➡️ @vctr_tz
➡️ @schoolbags_za_kisasa
➡️ @bui_fastcargo
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. Amina💖 | Posted on 09/Jan/2026 17:09:20


