Godliver Gordian Instagram – Kama haupo Mtwara na Lindi, uko wapi?🌍
Mambo yapo safi huku! Tupo na Mama, mgombea wetu pendwa wa Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan! 💪
🗳️ Tarehe 29 Oktoba, ni wakati wa kutekeleza matakwa yetu! Tujitokeze kwa wingi kumuunga mkono Mama Samia! ✊🔥
@samia_suluhu_hassan
@ccmtanzania
@ikulu_mawasiliano
@ikulu_habari
@ccm_zanzibar
@com_dijitali
@safariya_ccm
#MtwaraNaLindi #TunaSongaMbele #Uchaguzi2025 #Tujitokeze #maendeleo #samia # oktobatunatiki #uchaguzi2025 | Posted on 26/Sep/2025 23:39:39



